Posts

Showing posts from April, 2018

ROZARI TAKATIFU NA ROZARI HAI

ROZARI HAI (a) Historia Karne ya 18 LionsUfaransa. Paulina alitekwa na wazo namna ya kuwashawishi watu kupenda kusali Rozari ambayo imekuwa ikisaliwa na wazee na wacha Mungu wachache.   Ibada ya Rozari ilielekea kuwa   imepitwa na wakati   katika maisha ya wengi. Kulikuwa na watu wachache waliokuwa wakijitahidi katika ibada hii lakini mshikamano wao haukuwa wa uhakika kutokana na wimbi la wakati huo kuwa starehe iliwekwa mbele. Paulina alielewa ibada binafsi za watu hao wa pekee ni kama “cheche bila kuhusisha wengi katikati ya giza nene.” Kinachohitajika katika giza nene siyo cheche bali mwanga; “ Mwanga unaoishi au Mwanga wa kudumu” LINAFANYIKAJE HILO? Tunakusanya cheche mpaka kuzifanya mwanga unaoishi. ( ROZARI HAI )- Mwanga uliounganika unaoishi na kuwaka katika upendo   na kwa upendo. Kupitia sala zake Paulina   - Mungu alimwonyesha   Paulina njia - RAHISI SANA ” KUGAWA ROZARI KATIKA VIPANDE 15   kwa sasa   20 SAWA NA M...

MATOKEO YA FATIMA

(a)   Bikira Maria   alitokea Fatima   kwa mara ya kwanza 13/5/1917   na aliendelea kutokea mara sita mfululizo hadi 13/10/1917 alipotokea kwa mara ya mwisho. TOKEO LA I – Mei 13 1917 Ujumbe- ·         Kujitoa kwa ajili ya Mungu ·         Kupokea mateso kwa ajili ya malipizi ya dhambi nyingi za kumkosea Mungu na utukufu wake. ·         Kuomba kwa ajili ya wongofu wa wakosefu Ref. Book – “ FATIMA; A MESSAGE MORE URGENT THAN EVER” pg. 31-36 TOKEO   LA   II – Juni 13 1917 Ujumbe- ·         “Yesu anataka kuanzisha ibada kwa Moyo wangu safi, ninaahidi ya kwamba watu watakaoifuata wataongoka. Roho zile zitampendeza Mungu sana kama maua ninayopeleka kwa kiti chake cha enzi Msikate tamaa sitawaacha ninyi. Moyo wangu safi utakuwa tegemeo lenu   katika maisha yenu ya mbele na njia itakayowaongoza n...