MATOKEO YA FATIMA
(a) Bikira Maria
alitokea Fatima kwa mara ya
kwanza 13/5/1917 na aliendelea kutokea
mara sita mfululizo hadi 13/10/1917 alipotokea kwa mara ya mwisho.
TOKEO LA I –Mei 13 1917
Ujumbe-
·
Kujitoa kwa
ajili ya Mungu
·
Kupokea mateso
kwa ajili ya malipizi ya dhambi nyingi za kumkosea Mungu na utukufu wake.
·
Kuomba kwa ajili
ya wongofu wa wakosefu
Ref. Book –“FATIMA; A MESSAGE MORE URGENT THAN EVER” pg. 31-36
TOKEO LA II –Juni
13 1917
Ujumbe-
·
“Yesu anataka
kuanzisha ibada kwa Moyo wangu safi, ninaahidi ya kwamba watu watakaoifuata
wataongoka. Roho zile zitampendeza Mungu sana kama maua ninayopeleka kwa kiti
chake cha enzi Msikate tamaa sitawaacha ninyi. Moyo wangu safi utakuwa tegemeo
lenu katika maisha yenu ya mbele na njia
itakayowaongoza ninyi kwa Mungu.
Ref. Book –“FATIMA; A
MESSAGE MORE URGENT THAN EVER” pg 39-43
TOKEO LA III
-Julai 13 1917
Ujumbe-
·
Kufanya
majitoleo kwa ajili ya wakosefu
·
Aliwaonyesha
watoto motoni ambako wakosefu huenda
·
Adhabu ya dunia
inakaribia kwa sababu ya dhambi nyingi, vita, njaa na madhulumu ya kanisa.
·
Kwa ajili ya
kuzuia hayo nitaomba kuukabidhi Moyo
wangu safi nchi zile zote zinazomkana
Mungu.
·
Kumunyo Takatifu
ipokelewe kwa malipizi ya dhambi kila Jumamaosi ya kwanza ya Mwezi.
·
Mnaposali Rozari
semeni mwishoni mwa kila fumbo
“Ee Yesu Mwema
utusamehe dhambi zetu utukinge na moto wa milele uongoze Roho zote…………”
Ref. Book –“FATIMA; A
MESSAGE MORE URGENT THAN EVER” pg . 47-50
TOKEO LA
IV….(Agosti
19,1917)
Ujumbe
“Salini Salini mkatolee
sadaka nyingi kwa ajili ya wakosefu kwa sababu wengi wanakwenda motoni kwa kuwa
hayuko mtu anayewaombea wala kujitolea sadaka kwa ajili yao”
Ref. Book –“FATIMA; A
MESSAGE MORE URGENT THAN EVER” pg. 65-68
TOKEO LA V –Septemba
13 1917
Ujumbe-
“Endeleeni kusali
Rozari ili vita iishe . Nitarudi mwezi
Oktoba pamoja na Josefu Mtakatifu na Mtoto Yesu”
Mwezi ujao Oktoba
nitafanya muujiza ili wote wasadiki
Ref. Book –“FATIMA; A
MESSAGE MORE URGENT THAN EVER” pg.. 69-71
TOKEO LA VI –Oktoba
13 1917
Ujumbe-
“Mimi ni Malkia wa
Rozari na kwamba kikanisa kijengwa kwa
heshima yangu mahali hapa”
“Watu waendelee kusali
Rozari kila siku, vita vitaisha na wanajeshi watarejea nyumbani “
“Watu watubu na kuomba
masamaha ya dhambi zao”
“Watu wasimkosee Mungu
tena kwa maana walikosea mara nyingi mno mpaka sasa’’
Rejea Kijitabu
“ Mama yetu atuomba” uk.21
Ref. Book –““FATIMA; A
MESSAGE MORE URGENT THAN EVER” pg..80- 84
3.KWA NINI TUNASALI ROZARI.
(A)
Sababu Nzuri chache
(i)
Kupata amani
duniani
(ii)
Kulinda amani katika
familia
(iii)
Kuwa na ujasiri
katika changamoto za Maisha
(iv)
Njia iliyo
tayari na rahisi ya kulinda Imani.
(v)
Kutia Moyo
wakati wa maisha ya shida
(vi)
Kupata
ulinzi wa mwisho
Rejea Katiba ya shirika la
Rozari uk 92-95
(B)
AHADI ZA ROZARI
Rejea Katiba ya shirika la
Rozari uk. 50-53
—“Rozari
sala yangu’’ uk 38-40
(C)
KUPATA REHEMA
Rehema ni
ondoleo au punguzo la adhabu za muda kwa sababu ya dhambi
Rejea- Katiba ya shirika la Rozari uk. 44
Rehema kamili kwa kusali Rozari Takatifu
Rejea Katiba ya shirika la
rozari uk 45
-Tunaweza kupata
Rehema Pungufu kwa kusali Rozari bila tafakari au bila kutimiza masharti.
Rehema za shirika la Rozari
rejea katiba ya
shirika la Rozari Takatifu uk. 46-49
Usipuuze Rehema(hadithi)
Rejea- Siri ya Rozari uk. 212
-Unaposali Rozari weka
nia yako pia omba rehema
-Rozari ni
kipimo cha Ukristu -ufuasi wa Kristu.
“Kama utasali Rozari
kiaminifu mpaka kufa, ninakuthibitishiya
kuwa pamoja na ukubwa wa dhambi
zako nyingi mtapokea taji la utukufu lisilofifia”
Rejea Siri ya Rozari uk. 16
Kila mara tunaposali
Litania za Bikira. Maria na kuzitafakari, tunapata Rehema za siku 300. ( Papa
Pius VII, 30/9/1817 ). Rejea-- ‘ Rozari Sala yangu’’ uk. 40-44.
Comments
Post a Comment