ROZARI TAKATIFU NA ROZARI HAI
ROZARI HAI (a) Historia Karne ya 18 LionsUfaransa. Paulina alitekwa na wazo namna ya kuwashawishi watu kupenda kusali Rozari ambayo imekuwa ikisaliwa na wazee na wacha Mungu wachache. Ibada ya Rozari ilielekea kuwa imepitwa na wakati katika maisha ya wengi. Kulikuwa na watu wachache waliokuwa wakijitahidi katika ibada hii lakini mshikamano wao haukuwa wa uhakika kutokana na wimbi la wakati huo kuwa starehe iliwekwa mbele. Paulina alielewa ibada binafsi za watu hao wa pekee ni kama “cheche bila kuhusisha wengi katikati ya giza nene.” Kinachohitajika katika giza nene siyo cheche bali mwanga; “ Mwanga unaoishi au Mwanga wa kudumu” LINAFANYIKAJE HILO? Tunakusanya cheche mpaka kuzifanya mwanga unaoishi. ( ROZARI HAI )- Mwanga uliounganika unaoishi na kuwaka katika upendo na kwa upendo. Kupitia sala zake Paulina - Mungu alimwonyesha Paulina njia - RAHISI SANA ” KUGAWA ROZARI KATIKA VIPANDE 15 kwa sasa 20 SAWA NA M...
Comments
Post a Comment